Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Picha
- Picha



Mazungumzo ya kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na Jeshi la Anga la Iran
Baadhi ya maneno katika hotuba ya kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu alisisitiza kwa kusema: “Mimi si mwanadiplomasia bali ni mwanamapinduzi, na kwa sababu hiyo ninasema waziwazi, kwa ukweli na kwa msimamo imara kwamba, mazungumzo yatakuwa na maana pale upande wa pili utakapoonesha nia njema.”

2013/02/12  22:06

Kuachiwa huru Wairan 48 walotekwa nyara na Waasi wa Syria
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Wairan 48 walotekwa nyara na Waasi wa Syria kuachiwa huru, Wairan hao walitekwa nyara baada ya kua wamekamilisha ziara yao kwa Bibi Zainab(as) huku wakielekea Uanja wa Ndege wa Dumascus, Watekwaji nyara hao walipolewa kwa shangwe na vigeregere katika Hoteli ya Sheraton mji Mkuu wa Syria Dumascus.

2013/01/10  20:17

Habari za kunaswa Scan Eagle
Picha za kwanza za Scan Eagle baada ya kunaswa katika anga la Iran

2012/12/05  10:39

Nchi za Kiarabu kushinikiza kutowa silaha kwa Magaidi na Waasi wa Syria

2012/08/01  22:23

Syria kusafisha ugaidi

2012/08/01  22:17

Marekebisho ya Haram ya Kadhimain

2012/06/20  10:15

Kuhudhuria Ayatullah Sayyid Ali Khamenei katika uchaguzi wa Bunge+Picha
Ayatullah Sayyid Ali Khameni kuhudhuria katika uchaguzi wa 9 wa Bunge la Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran, akipiga kura katika Husainiah ya Imam Khomeini sanduku namba 110.

2012/03/05  20:05

Swala ya Ijumaa Tehran kuongozwa na Ayatullah Khamenei+ Picha

1390/00/00  20:22

Mapenzi ya Vijana kwa Ayatullah Khamenei
Vijana wamapinduzi kuonyesha mapenzi yao kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Iran Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.

1390/00/00  18:14

Shahada ya Imam Riza(as)
Jamuhuri ya Kiislamu kua katika huzuni na kuomboleza kifo na shahada ya mjukuu wa Mtume(saw), pia kuiaga Dunia Mtume(saw) katika mwezi wa Safar.

1390/00/00  19:09

Ugaidi wa Israeli na Marekani
Mataalamu wa nyuklia wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran kufa Shahidi
Hizi ni picha baada ya mlipuko wa bomu alipoaga Dunia mtaalamu wa nyuklia wa Iran na kufa kishahidi.

1390/00/00  18:25

Kikao cha Viongozi wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) na Ayatullah Madhahiriy.

1390/00/00  22:13

Maendeleo ya tovuti ya ABNA
Kikao cha kujadili Maendeleo ya tovuti ya Abna

1390/00/00  20:13

Habari za Picha
Kikao cha kujadili Filamu ya Sibtain(Hasan na Husain)

1390/00/00  17:31

Palestina
Mkutano wa kimataifa wa kuunga mkono intifadha ya Palestina

1390/00/00  6:44

Muamko wa Kiislamu
Kikao Cha kwanza cha Kimataifa cha Muamko wa Kiislamu

1390/00/00  6:27

Kikao cha Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(a.s)
Kongamano la 5 la jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(a.s)

1390/00/00  5:43

Sikukuu
Swala ya Idil Fitr
Swala ya idi katika Sehemu mbalimbali za Dunia

1390/00/00  21:10

Siku ya Quds Bangkok Thailand

1390/00/00  4:13

Marasim ya Shahada ya Imam Aliy(a.s) katika Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran

1390/00/00  4:08

Usiku wa Lailatul Qadr

1390/00/00  2:57

SIKU YA MAB 'ATH

1390/00/00  5:59


ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani