Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Hii ndio ada ya Maulamaa
Kiongozi muadhamu kumbusu Allamah Hasan Zadeh Amily+ Picha
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Ayatullah Sayyid Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislam ya Iran mnamo siku ya Jumapili alimtembelea Allamah Ayatullah Hasan Zadeh Amily Hspitali ya Tehran, Baada ya matembezi hayo Ayatullah Sayyid Ali Khamenei alimuombea afya njema kwa Mwenyezi Mungu Mwanazuoni huyo.

2012/10/02  20:26

Afrika
Kitisho cha kiongozi wa Book haram kuwa jawabu zito waliotengeza filam ya kumvunjia heshima Mtume
Mkuu wa kikundi cha Book haram amesambaza video ikionyesha vitisho vyake kwa waliotengeneza filam ya kumvunjia heshima Mtume mtukufu, na kutangaza kuwa Serikali ya Nigeria haita fanya mazungumzo na kikundi hicho na wala haina lengo la kufanya hivyo

2012/10/02  20:10

Hatima ya mizozo ya Afrika ni nini?!
Wanafunzi zaidi ya 20 wauliwa kwa kupigwa risasi Nigeria
Kundi la watu lililokuwa limejihami kwa bastola nchini Nigeria limewaua zaidi ya wanafunzi 20 baada ya kuwapiga risasi katika Chuo kimoja cha mafunzo ya juu mjini Mubi katika jimbo la Adamawa.

2012/10/02  20:04

Mehmanparasat:
Hakuna nafasi ya uhusiano kati ya Iran na Marekani
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Ramin Mehman parasat amesema hakuna uwezekano wa kurudishwa kwa uhusiano kati ya Iran na Marekani na hadi sasa hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kuhusu suala hilo.

2012/10/02  19:53

nini kinacho jiri Syria
Waziri wa mambo ya nje wa Cuba alaani nchi za magharibi kuwa dhidi ya Syria
Waziri wa mambo ya nje wa Cuba Bw. Bruno Rodriguez jana alilaani nchi za magharibi kwa kutumia nguvu kusukuma mbele mabadiliko ya utalawa wa nchi nyingine, na kugombea maliasili na utawala wa sehemu yenye umuhimu wa kimkakati.

2012/10/02  19:49

Sky News:
China na Urusi kuhami Iran kanako mgogoro wa Syria
Televisheni ya Sky News imetoa ripoti yake kunako hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mkutano wa Jumuiya ya Umoja wa Mataifa kueleza kuwa maneno ya Iran ni ishara ya kuhami China na Urusi Iran kunako mgogoro wa Syria.

2012/10/02  19:41

Afrika
Jitihada za mawakili wa Mubaraka za kumtoa Dikteta huyo jela
Mawaki na wahami wa Mubarak kutokana na hali mpaya ya kiafya yake wanazidisha jitihada za kumuhamisha Mubarak katika hospitali ya wafungwa, kuamishiwa huspitali nyengine

2012/10/02  18:18

Shambulizi la bomu latokea kanisani nchini Kenya
Mlipuko wa gruneti uliotokea leo katika kanisa la Polycap mjini Nairobi umesababisha kifo cha mtoto mmoja na wengine watatu kujeruhiwa.

2012/10/02  11:39

Walid al-Moualem:
Marekani yaunga mkono Waasi Nchini Syria
Serikali ya Syria imeeleza kuwa Marekani pamoja na washirika wake ndio waunga mkono ugaidi nchini humo kwa kuwahami na kuwafadhili wapiganaji wanaotaka kuuangusha utawala wa rais Bashar Al Assad.

2012/10/02  11:32

Uturuki na Qatar:
Kuweni kitu kimoja tutakupeni silaha dhidi ya Vifaru na Ndege
Katika kutokea baadhi ya hitilafu katika vikundi vya Waasi Syria Uturuki na Qatar wameviomba vikudi hivyo kuungana na kuwa pamoja, na hiyo ni sharti ya kusaidiwa Waasi hao silaha.

2012/10/02  11:11

Wanajeshi 2,000 wa Marekani wameuliwa Afghanistan tangu 2001
Idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa nchini Afghanistan wakilinda amani na kupambana na kundi la Taliban chini ya majeshi ya kimataifa ya NATO kwa muda wa miaka 11 imefikia 2,000 .

2012/10/01  21:03

Waasi 235 wauawa nchini Syria
Tovuti ya gazeti la al-Watan nchini Syria leo imetoa habari kuwa, jeshi la serikali ya Syria na waasi wamepambana jana huko Aleppo, mji wa kaskazini nchini humo, na waasi 235 wameuawa katika mapambano hayo.

2012/10/01  20:37

Afrika
Kusamehewa mubaraka kutafahamika leo
Mahakama kuu ya Misri ikiongozwa na Abdussalam Najari leo inachunguza maombi ya mawakili wa Mubaraka kunako kusamehewa kwake

2012/10/01  18:31

Afrika
Nigeria Hija ya mwaka huu si ruhusa
Katika masiku ya mwisho ya wiki iliopita vyombo vya habari vya nchi za kiarabu vimetangaza kuwa Saudi Arabia amewaziwia wanawake elfu moja wakinigeria walikuwa wamekusudia kuhiji mwaka huu

2012/09/30  19:09

Afrika
Cairo: kukodisha Suez Canal kwa Qatar ni kichekesho
Msemaji mkuu wa jamhuri ya Misri amesisitiza kuwa mazungumzo kuhusu kukodisha Kanał ya Sueski kwa Qatar ni kichekesho

2012/09/30  18:23

Matumizi ya kura ya veto yadhibitiwe
New Zealand imetaka mataifa matano yenye ujumbe wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yajidhibiti katika matumizi ya kura ya veto.Wito huo umetolewa siku ya Jumamosi na Waziri wa Mambo ya Nje wa New Zealand Murray McCully wakati akihutubia mkutano wa 67 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwenye makao makuu ya Umoja huo mjini New York Marekani.

2012/09/30  14:33

Waislam tuamke kumtetea Mtume Muhammad(saw)
Mawaziri wa Nchi za Kiarabu walaani filamu ya kumdhalilisha Mtume(saw)
Mawaziri wa Mambo ya Kigeni wa Mataifa ya Kiislamu wametoa wito wa kuwekwa sheria dhidi ya uchochezi wa chuki za kidini, huku wakilaani filamu iliyotengenezwa Marekani inayoidhihaki dini ya Kiislamu.

2012/09/30  14:19

Majeshi ya Kenya kuvunja ngome kuu ya Al-Shabab.
Kwa mujibu wa msemaji wa majeshi ya Kenya nchini Somalia, Kanali Cyrus Oguna amethibitisha majeshi yake kufanikiwa kutwaa sehemu kubwa ya mji wa Kismayo baada ya kufanyika operesheni maalumu kwa kushirikiana na majeshi ya AMISOM na yale ya Serikali ya nchi hiyo.

2012/09/30  14:10

Afrika
Mursiy kamwe hatakutana na kiongozi yeyote wa kizayuni
Mkuu wa kikundi cha Ikhwanul Muslimina nchini Misri amesisitiza kwamba Raisi wa nchi hiyo kamwe hatakutana na kiongozi yoyote wa kizayuni, hata kama Tel Aviv itataka kufanya muafaka baina ya pande mbili hizo

2012/09/29  21:37

Afrika
Filam ya wadaa (ni jibu la Misri) kuhusu utakaso wa waislamu yatengenezwa
Muigizaji mmoja nchini Misri ametangaza kutengeza filam ya wadaa inayomuhusu mtume Muhammad (s.a.w.w) ikiwa ni jawabu la filam ya kimarekani inayo mvunjia heshima mtukufu mtume

2012/09/28  22:37

Afrika
Muhammad Mursiy nikama Rais ahmadi Najad katika kuashambulia Israeli
Vyombo vya habari vyatangaza kuwa Rais wa Misri aishambulia Israeli kama alivoishambulia Rais (Amad Najadi) wa Iran

2012/09/27  18:10

Rais wa Iran, Ahmadinejad ayashutumu mataifa ya magharibi kuhusu vitisho kuivamia kijeshi nchi yake
Rais wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad ameendelea kuyashutumu mataifa ya magharibi kwa kuendelea kuitishia nchi yake kuivamia kijeshi iwapo itaendelea na mpango wake wa kurutubisha Nyuklia.

2012/09/27  15:25

Mashariki ya kati
Hatutetereshwi na vitisho vya Israel
Rais wa jamhuri ya kiislam ya Iran Dokta Mahamud Ahmad Nejad amesema: tumejiandaa kikamilifu kuilinda dola ya kiislam na wala hatutetereshwi na vitisho vya utawala dhalimu wa Israel

2012/09/25  18:11

Ujenzi wa Daraja la Kigamboni kuanza
Jiwe la msingi kwa ajili ya Ujenzi wa Daraja la Kigamboni lawekwa na ukikamilika ndiyo litakuwa daraja refu zaidi Afrika Mashariki

2012/09/24  10:25

Nini kinacho jiri Libya baada ya Ghadhafi?!
Maandamano makali kuendelea Benghazi
Walibya waliyochoshwa na ushawishi wa makundi ya wanamgambo mjini Benghazi walivamia kituo cha kundi la wanamgambo na brigedi ya waasi wa zamani na kusababisha mtifuano uliyosababisha vifo vya watu wasiyopungua wanne .

2012/09/24  10:17


         10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani