Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Watu kadhaa kuuawa Mombasa
Mtu mmoja ameuawa na wawili kujeruhiwa, kufuatia sheikh Aboud Rogo wa Kenya aliyekuwa akitoa mawaidha yenye utata, na ambaye anahusishwa na mashambulizi ya kigaidi kuuwa kwa kupigwa risasi. Sheikh huyo aliyekuwa akikabiliwa na makosa kadhaa yanayohusiana na ugaidi katika mahakama za Mombasa na Nairobi, alipigwa risasi karibu 14 kifuani, karibu na barabara kuu inayounganisha Mombasa na Malindi.

2012/08/28  11:03

Habari za kikao cha 16 cha Viongozi wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana Tehran-2012
Afrika Kusini yathibitisha tena ahadi yake kwa NAM
Serikali ya Afrika Kusini imethibitisha tena ahadi yake kwenye umoja wa Nchi zisizofungamana na Upande Wowote NAM, ikisema itatumia mkutano ujao wa NAM kuwasilisha kanuni zinazosimamia ushirikiano wa Kusini-Kusini.

2012/08/28  10:32

Habari za kikao cha 16 cha Viongozi wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana Tehran-2012
Viongozi wa tatu kuongozana na Kiongozi wa Mapinduzi katika Mkutano wa NAM
Ayatullah Amili Larejani pamopa na Mahmud Ahmadnajad na Ali Larejani wataongozana na Kongozi Muadhamu wa Mapinduzi katika Mkutano wa Jumiya ya NAM.

2012/08/28  10:26

Habari za kikao cha 16 cha Viongozi wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana Tehran-2012
Los Angeles Times: Ujumbe wa Mkutano Tehran ni kupambana na ugaidi
Los Angeles Times imeandika: Mkutano wa Wiki moja wa Jumuiya ya NAM Tehran ni ujumbe wa kuwa dhidi ya ugaidi.

2012/08/27  23:34

Tanzania
Polisi watumia risasi za moto kukabili maandamano Tanzania
Polisi ya Jamhuri ya muugano wa Tanzania imetumia risasi za moto kukabiliana na wafuasi wenye hasira kali wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA katika mji wa Morogoro

2012/08/27  23:17

Habari za kikao cha 16 cha Viongozi wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana Tehran-2012
Ayatullah Safi: Jumuiya ya NAM ijitahidi kusaidia Mataifa dhaifu
Mataifa yote dhaifu ya tumai kusaidiwa na mawakili wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na upande wowote hasa katika Ulimwengu wa Sasa imekuwa mataifa dhaifu ndio watupiwa kila uchafu, kwa mantiki hii Jumuiya hii lazima ichukuwe uamuzi wa haraka ili kusaidia Mataifa yote dhaifu.

2012/08/27  18:45

Habari za kikao cha 16 cha Viongozi wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana Tehran-2012
Ban Ki Moon atazuru Natanz na Isfaham
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atazuru Natanz na Isfahan baada ya Mkutano wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na upande Wowote Iran.

2012/08/27  18:39

Habari za kikao cha 16 cha Viongozi wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana Tehran-2012
Historia ya Mkutano wa 15 wa Jumuiya ya wanaharakati wa NAM na nafasi ya Iran katika Jumuiya hiyo.
Mkutano wa 15 wa Jumuiya ya wanaharakati wa NAM ulifanyika mwaka 2009 Sharam Al-Shaikh Misri, na Iran iliomba kuwa mwenyeji Mkutano 2012 na kukubaliwa.

2012/08/27  06:35

Ziara ya Iran Nchini Syria na kuonana na rais Bashar Al-Asad
Mkuu wa kamati ya usalama wa taifa ya Iran Alaeddin Boroujerdi ambaye yupo ziarani nchini Syria, amefanya mazungumzo na rais Bashar al-Assad wa Syria, makamu wake Farouq al-Sharaa na waziri wa mambo ya nje Walid al-Moallem.

2012/08/27  04:44

Habari za kikao cha 16 cha Viongozi wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana Tehran-2012
Kupunguzwa silaha za nyuklia kujadiliwa katika mkutano wa wakuu wa harakati za kutofungamana na upande wowote
Iran imesema suala la kupunguza silaha za nyuklia ni miongoni mwa masuala makubwa yatakayojadiliwa katika mkutano wa 16 wa wakuu wa harakati za kutofungamana na upande wowote ulioanza leo hadi tarehe 31 nchini humo. Nyaraka za mkutano huo zitasisitiza umuhimu wa kuendeleza na kutumia kwa amani nishati ya nyuklia.

2012/08/27  04:33

Habari za Mkutano wa 16 wa Viongozi wa NAM Tehran-2012
Kuonyesha “Filamu ya Terror” katika Mkutano wa NAM
Filamu yenye dakika 40 “Filamu ya Terror” katika Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zisizofungamana na Siasa ya upande wowote NAM.

2012/08/27  04:16

Habari za Mkutano wa 16 wa Viongozi wa NAM Tehran-2012
Madai ya Israel, kuangushwa Washington kwa kuanza Mkutano wa NAM Tehran
Gazeti la Israel limedai kuwa kunaza Mkutano wa NAM Tehran ni kuonyesha kwamba Nchi za Magharibi zimegonga ukutani kwa Mkutamo huo.

2012/08/27  04:10

Habari za Mkutano wa 16 wa Viongozi wa NAM Tehran-2012
Reuters: Iran kuandaa Mkutano wa NAM amianza Siasa ya vita Baridi
Juhudi za Nchi za Kimagharibi kutofaanikisha na kuomba Wanachama wa NAM kutoshiriki katika Mkutano wa NAM Tehran na juhudi hizo kufeli na kugonga ukutani.

2012/08/27  04:06

Habari za Mkutano wa 16 wa Viongozi wa NAM Tehran-2012
Msaidizi wa zamani wa Waziri wa Mambo ya nje Misri: Mursi afahamu umuhimu wa uhusiano na Iran
Msaidizi wa zamani wa Waziri wa Mambo ya nje wa Misri alieleza kunako uhusiano na Iran; Rais wa Misri afahamu umuhimu wa safari ya Iran.

2012/08/27  04:00

Habari za kikao cha 16 cha Viongozi wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana Tehran-2012
Mkutano wa NAM kuanza Tehran
Kikao cha wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na upande Wowote wa Siasa NAM kimeanza leoTehran, Wanachama hao kutoka zaidi ya nchi 120 za kimataifa watashiriki katika kikao hicho.

2012/08/26  16:47

Hatima ya uchumi wa Ulaya ni nini?!!
Ugiriki yahaha kuzishawishi nchi zinazotumia sarafu ya Euro
Waziri mkuu wa Ugiriki, Antonis Samara anakabiliwa na changamoto kubwa ya kuwashawishi viongozi wa nchi zinazotumia Sarafu ya Euro, juu ya jitihada za nchi yake.

2012/08/23  10:17

Sala ya Eid Dar es salam Tanzania
waumini wa kiislam wa madhehebu ya shia na sunni leo wamesali ibada ya sunna ya Eidil fitr kote ulimwenguni.

2012/08/19  21:24

Mauaji ya Afrika Kusini yakumbusha enzi za ukaburu
Baada ya kimya cha maafisa wa serikali kwa zaidi ya masaa 12, Waziri wa Polisi, Nathi Mthethwa, alithibitisha kiasi ya watu 30 waliuwawa katika operesheni hiyo ya polisi iliyofanyika katika mgodi huo uliopo kiasi cha kilometa 100 kaskazini magharibi mwa Johannesburg.

2012/08/19  18:24

Tanzania
Wanafunzi na wazazi waadhimisha siku ya Quds
wanafunzi wakiwa wameongozana sanjari na wazazi wao walijumuika katika shule ya upili ya Darul huda wakiadhimisha siku ya Quds.

2012/08/18  20:03

Siku ya kimataifa ya Qudsi nchini Sudani
Ketengo cha tamaduni cha Iran nchini Sudan kiliadhimisha siku ya kimataifa ya Qudsi katika msikiti wa Shahidi mjini Khartom katika ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani

2012/08/18  12:54

Mpango wa kumuua Muhammad Mursiy wafichuka
Mazishi ya miili ya mashahidi waliowawa katika jangwa la Sinaa yamepelekea kufichuka siri yakuwepo mpango wa kumuua Rais wa Jamhuri ya Misri

2012/08/16  02:05

Uchumi Ulaya wazidi kuporomoka
Uchumi wa mataifa ya Umoja wa Ulaya yanayotumia sarafu ya Euro umeanguka kwa asilimia 0 nukta 2 kwa kipindi cha miezi miwili kati ya mwezi Aprili hadi Juni mwaka huu.

2012/08/14  18:04

Morsi amtoa Tantawi madarakani
Nchini Misri, rais mpya, Mohammed Morsy ametangaza kuwa anamuondoa waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi, Hussein Tantawi pamoja na naibu wake.

2012/08/12  22:47

Waziri wa Afya atahadharisha kutokea magonjwa baada ya Tetemeko la Ardhi
Waziri wa Afya wa Iran alisema: Mahitaji yote muhimu ya kidaktari na huduma ya kwanza katika sehemu ilotokea tetemeko la ardhi hakuna tatizo, na juhudi za kuokoa watu walokuwa chini ya majumba yaloangua zaendelea kwa kasi ya juu, ila tu walopoteza maisha yao katika janga hilo yazidi kuongezeka.

2012/08/12  18:35

Tetemeko la Ardhi nchini Iran
Takribani zaidi ya watu 120 wamepoteza maisha na zaidi ya 1,500 wamejeruhiwa na matetemeko pacha ya ardhi ambayo yamepiga mkoa wa Tabriz kaskazini magharibi mwa Iran jana Jumamosi.

2012/08/12  17:19


         10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani