Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Habari Muhimu
- Habari Muhimu



Uchumi Ulaya wazidi kuporomoka
Uchumi wa mataifa ya Umoja wa Ulaya yanayotumia sarafu ya Euro umeanguka kwa asilimia 0 nukta 2 kwa kipindi cha miezi miwili kati ya mwezi Aprili hadi Juni mwaka huu.

2012/08/14  18:04

Waziri wa Afya atahadharisha kutokea magonjwa baada ya Tetemeko la Ardhi
Waziri wa Afya wa Iran alisema: Mahitaji yote muhimu ya kidaktari na huduma ya kwanza katika sehemu ilotokea tetemeko la ardhi hakuna tatizo, na juhudi za kuokoa watu walokuwa chini ya majumba yaloangua zaendelea kwa kasi ya juu, ila tu walopoteza maisha yao katika janga hilo yazidi kuongezeka.

2012/08/12  18:35

Tetemeko la Ardhi nchini Iran
Takribani zaidi ya watu 120 wamepoteza maisha na zaidi ya 1,500 wamejeruhiwa na matetemeko pacha ya ardhi ambayo yamepiga mkoa wa Tabriz kaskazini magharibi mwa Iran jana Jumamosi.

2012/08/12  17:19

afrika
Mursiy: Wadhifa wetu kitaifa ni kulipa kisasi cha damu za mashahidi wetu
Rais wa jamhuri ya Misri katika safari yake mkoani Arishi sehemu za jangwa la sinaa amesema: kulipa kisasi cha damu za mashahidi walouwawa katika maeneo hayo ni wadhifa wetu wa kitaifa

2012/08/12  03:50

Jeshi la Syria kusafisha Kijiji cha Aleppo
Wanajeshi watiifu kwa Rais wa Syria Bashar Al Assad wamefanikiwa kuwasambaratisha wapiganaji wa Jeshi Huru la Syria katika Jiji la Aleppo kitu ambacho kimethibitishwa na wanamgambo hao na wamekiri kurudi nyumba kujipanga kabla ya kujibu mashambulizi ya kulipiza kisasi.

2012/08/11  18:11

Mkutano unaojadili maendeleo ya Syria kufanyika Iran
Iran, ambayo ni mshirika wa karibu wa Syria, imeitisha mkutano utakaojadili hali ya usalama ya Syria. Hatua hii inakuja wakati ambapo majeshi ya rais Bashar al-Assad, yakiendelea na mashambulizi dhidi ya waasi.

2012/08/09  18:55

Said Jalily: Mauwaji Syria lazima kusitishwa na kuunga mkoni Waasi ni kushiriki katika jinai
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran: Kutekwa nyara Wairan 48 na waasi wa Nchi ya Syria ni suala lisilo kubalika na Saudia Arabia, Qatar na Uturuki wafahamu kuwa kuunga mkono waasi hao ni kushiriki katika jinai hilo.

2012/08/08  20:16

Iran na Uturuki zafanya mazungumzo juu ya Syria
Mwakilishi mmoja wa kiongozi wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amefanya ziara ya ghafla nchini Syria kwa ajili ya mazungumzo na Rais Bashar al-Assad katika wakati ambao mapigano nchini humo yanaendelea.

2012/08/07  18:04

Tanzania
WANAFUNZI WA KIISLAM WATEMBELEA KITUO CHA YATIMA
ABNA inatuarifu kuwa:Jumuiya ya kiislam ya wanafunzi wa shule za upili wa jiji la Mwanza Tanzania(TAMSA) wametembelea kituo cha watoto yatima cha TULEANE.

2012/08/07  03:43

Kuzidi 80% ya ubakaji wa kijinsia katika Jeshi la Israel
Tathmini rasmi ya Jeshi la Israel: Ongezeko 80% ya ubakaji wa kijinsia katika Jeshi la Israel, na kusisitiza kuwa hali hiyo yatisha katika Jeshi la Israel kwa kuteswa Wanawake walokuwa wanajeshi na wasokuwa wanajeshi.

2012/08/05  19:25

Ghadhabu za magharibi dhidi ya Uislamu kudhihirishwa
Shirika la Google na Facebook kufunga ukurrasa wa Televisheni ya Al-Manar
Mmiliki wa Facebook mara kadhaa alikwisha funga ukurasa wa Televisheni Hizbullah Al-manar, aidha Viongozi wa shirika la Google na Apple walifuta baadhi ya programu za Televisheni hiyo.

2012/08/03  22:48

Muamko wa Kiislamu
Utumiaji wa gesi ya sumu dhidi ya waandamanaji Bahrain yaongoza Duniani + Picha
Gazeti la Marekani New York Times limeeleza kuwa katika miaka 100 ilopita Bahrain imeongoza kwa utumiaji wa gesi ya sumu dhidi ya waandamanaji na kuonyesha kuwa Nchi ya Bahrain yachupa mipaka ya Umoja wa Kimataifa.

2012/08/03  22:42

Kofi Anan: Viongozi wa Nchi za Kimaghari hawakuonyesha ushirikiano kutatua mgogoro wa Syria
Kofi Anan baada ya kujiuzulu katika madaraka ya kutatua mgogoro wa Syria alieleza kuwa: Baadhi ya Viongozi wa Kimagharibi hawakuonyesha ushirikiano wao kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Syria na kupuuzia baadhi ya mambo.

2012/08/03  18:41

Kusafishwa magaidi katika Mji Rif(Damaskas)
Jeshi la Syria limeeleza kuwa Mji wa Rif umeshasafishwa na hakuna tena magaidi.

2012/08/03  18:37

Je! Saudia Arabia yaridhia mauaji ya watu wasokuwa na hatia?
Kulaaniwa waasi Syria kwa mauaji
Wapiganaji wa kundi la waasi nchini Syria wamelaaniwa vikali baada ya picha moja ya video iliyowekwa kwenye mtandao wa internet kuwaonyesha wakiwauwa kwa kuwapiga risasi wanaume kadhaa walioshutumiwa kuwa wanamgambo wanaoiunga mkono serikali.

2012/08/02  22:59

Serikali ya Ugiriki wakutana kujadili swala la kuomba mkopo kutoka IMF
Viongozi wa Serikali ya Umoja ya Ugiriki wanakutana kwa mara ya tatu hii leo kwa ajili ya kujadili utekelezaji wao katika kuhakikisha wanapata mkopo wa euro bilioni kumi na moja nukta tano kutoka Umoja wa Ulaya na Shirika la Fedha Duniani IMF.

2012/08/01  22:50

Bashar Al-Asad awasifu wanajeshi wake
Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kwamba vita kati ya jeshi la nchi yake na waasi vitaamua hatima ya Syria. Amewapongeza pia wanajeshi wake kwa kupambana na kile alichokiita makundi ya magaidi wahalifu.

2012/08/01  17:39

Palestina yachukizwa na kauli ya mgombea kiti cha urais nchini Marekani Mitt Romney
Serikali ya Mamlaka ya Palestina imechukizwa na kauli ambayo ameitoa Mgombea Mtarajiwa wa Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Republican nchini Marekani Mitt Romney dhidi ya taifa hilo wakiamini ni yenye lengo la kueneza chuki.

2012/08/01  03:05

Je! yanayosemwa kunako Syria ni kweli?
Vyombo vya Kimagharibi kutumia Photoshop kudanganya watu kunako hali ya Syria
Vyombo vya habari vya Kimagharibi vyatumia Photoshop konyesha kuwa hali ya Syria ni mbaya huku wakisambaza Picha za uongo katika Magazeti yao kudanganya watu.

2012/07/30  23:33

Lengo letu Syria ni kuangusha Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran
Mchambuzi wa Siasa wa Uingereza alikosoa vikali madai ya nchi za Kimagharibi na Nchi za Kiarabu kwa kutaka demokrasia Nchini Syria na kusema: Saudia Arabia na Qatar wataka demokrasia Nchini Syria hali ya kuwa ndani ya Nchi hizo hakuna demokrasia, aidha Marekani ipo katika mkumbo huo.

2012/07/30  21:54

Tanzania
Hongo miongoni mwa Wabunge!
Tuhuma za baadhi ya wabunge nchini Tanzania kuhongwa bado lina gonga vichwa vya habari.

2012/07/30  19:05

Kwanini Mayahudi waogopa Hizbullah Lebanon?!
Gazeti la Lebanon Al-Akhbar limetaja sababu za uwoga wa Waisrael kuiogopa Hizbullah ni kufeli njama za Nchi za Kimagharibi dhidi ya Lebanon hasa Hizbullah.

2012/07/28  23:16

Jamuhuri ya Kiislamu ya Irani kusonga mbele kiteknolojia
Jeshi la Marekani lakata tamaa baada ya Iran kuongeza Manowari za kivita kudhibiti Ghuba ya Uajemi
Gazete la Washington Post limeeza kuwa: Jeshi la Irani laongeza idadi ya Manywari za kivita katika Persian Gulf ili kudhibiti Jeshi la Marekani na hilo ni tishio kwa Jeshi la Marekani ukizingatia kambi kuu ya Marekani Mashariki ya kati ipo Bahrain.

2012/07/28  05:26

Mazayuni wateketezwa
Tende za Israel kupigwa marufuku Uingereza
Vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Israel, baadhi ya Nchi za Ulaya kuzuiya bidhaa za Israel, na miongoni mwa Nchi hizo ni Uigereza, Uingereza imepiga marufuku kuingiza bidhaa ya Tende za Israel Nchini humo.

2012/07/26  22:32

Muamko wa Kiislamu
Utawala Bahrain bado waendelea na unyama wa kuadhibu waandamanaji katlika Mwezi wa Ramadhani
Vikosi vya usalama vya utawala Bahrain bado vya endelea na opresheni zake kupiga waandamanaji katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani bila kujali fadhila na Baraka za Mwezi wa Ramadhani, siku Tatu zilizopita watu Nane walitiwa mbaroni na Tisa kujeruhiwa, unyama na opresheni hizo zaendelea katika sehemu 31 za Nchi hiyo ili kuzuiya maandamano.

2012/07/25  23:35


         10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani