![]() |
Imam wa Ijumaa kuuawa Bruksel Ujumbe wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) kwa kuuawa Sheikh Abdullah Dahduh. Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) imesisitiza kwa mambo ya kinyama yanayofanywa na Nchia za Ulaya ili kuzagaza fitina baina ya Waislam hasa Waislamu wanaoishi Nchi za Ulaya, suala la kuleta fitina baina ya Waislamu halikubaliwi na wafasi wa Ahlul Bayt(as) na watasimama kiukamilifu dhidi ya videndo vya kinyama.
|
![]() |
Ibun Ally aomba hifadhi nchini Bilgik Wizara ya mambo ya nje nchini Bilgik imeeleza jitihada za Dekteta wa zamani wa Tunis kuomba hifadhi katika nchi hiyo.
|
![]() |
Marekani Askari wa Marekani auwa raia wasio na hatia Afghanistan ABNA inatuarifu kuwa:Askari wa jeshi la Marekani nchini Afghanistan amewekwa kizuizini baada ya kuwapiga risasi na kuuwa raia 16 wasio na hatia.
|
![]() |
Wafuasi wa Mubaraka waasisi chama cha (Misri Mubaraka) Watu kadha kati ya wanasiasa na masuala ya kijamii nchini Misri kati ya wanaomuunga mkono Raisi wa zamani wa Misri Husni Mubarak, wametangaza kuwa wako mbioni kuasisi chama kwajina la(Misri Mubarak).
|
![]() |
Ban Kimoon apongeza juhudi za jumuiya ya kimataifa katika kupambana na umaskini Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw Ban Kin Moon amepongeza juhudi za jumuiya ya kimataifa katika kupunguza umaskini na kuboresha maisha ya watu duniani.
|
![]() |
Saudia: kamwe Ibun Ally hatutamrejesha Tunis Raisi wa muda watunis: pamoja kuwa muda mrefu tumeitaka Saudia kumrejesha Ibun Ally (raisi wa zamani wa Tunis) nchini Tunis, lakini yaonekana kwamba Saudia haitamrejesha mtuhumiwa huyo.
|
![]() |
Bunge la Misri lakaa kuchunguza matatizo ya umeme ukanda wa Gaza Bunge la Misri leo limekaa kikao kuhusu kuchunguza muafaka wa kupelekwa umeme ukanda wa Gaza .
|
![]() |
Maadhimisho ya Allamah Sayyed Akhtar Rizvi Iran Makao makuu ya Al-Mustafa Internationl Uversity leo yamefanya
maadhimisho makubwa ya kumbukumbu za Sayyid Said Akhtar Rizvi pamoja na Abdul haad Alfadhilii
|
![]() |
Masalafia acheni kuwakafirisha wenzenu Waziri wa masuala ya dini nchini Tunis kuwataka masalafia nchini humo waachane na kuwakafirisha wanadini wenzao na kuwafarikisa wananchi na waumini.
|
![]() |
Watu 30 kuuwawa na kuaribiwa vijiji 10 katika mapigano ya kikabila nchini Nigeria Kwauchache watu 30 wauwawa na vijiji 10 kuharibiwa katika mapigano yaliotokea nchini Nigeria baina ya wafugaji wa kabila la Fulani na wanaoishi vijijini wakabila la Tazyah kiliopo kusini mwa Nigeria.
|
![]() |
Kugunduliwa miili yawatu 163 katika makaburi ya halaiki nchini Libya Kamati ya kutafuta watu waliopotea nchini Libya imegundua miili ya watu 163 waliouwawa kipindi cha mapigano yakumtoa madarakani kiongozi wa zamani wa nchi hiyo(muamar Gaddafi) mwaka uliopita.
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Idadi ya Mashahidi kuongezeka Bahrain Jaafar Sayyid Salman Jumaa Alawiy mkazi wa Mkoa wa Ash sharukhah Bahrain kwa athari ya kipigo kikali na Polisi wa Bahrain, aliaga Dunia kwa athari ya majeraha ya kichwani mwake.
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Kuzidi wimbi la muamko wa Kiislamu Saudia Arabia Ijumaa ilopita Mkoa wa Qatif Saudia Arabia ulishuhudia maandamano makali ya Wananchi wa Mkoa huo kutaka kukamilishiwa mahitaji yao jambo hilo lilipelekea kutiwa mbaroni wa Watu kadhaa katika maandamano hayo.
|
![]() |
Siku ya 18 ya mgomo wa chakula Hanaa Ash shabliy Mama wa Kipalestina alieshikwa na Polisi ya Israel, aendelea na mgomo wa kuacha kula chakula katika kifungo, Mama huyo ni kama Sheikh Khidhr Adnan ambae aligoma kula chakula cha Israel kwa muda siku 66.
|
![]() |
Mufti wa Qatar ataka kuweka fitina baina ya Waislamu wa Misri Umoja ya Ahlul Bayt(as) umeeleza kuwa; matukio ya Kiwahabi hasa maneno ya Mufti wa Misri anaeishi Qatar kutaka kutafarukisha Waislamu Duniani.
|
![]() |
asia Nguvu za kijeshi za China zaitia wahaka Marekani ABNA inatuarifu kuwa:Serikali ya China imetangaza kuongeza matumizi ya kijeshi ili kujiimarisha zaidi kiulinzi.
|
![]() |
Ulaya Putin kushika hatamu ya Urusi ABNA inatupasha habari kwamba: Matokeo ya uchaguzi nchini Urusi yameonyesha ushindi mkubwa kwa Putin ambapo amechukua asilimia kubwa kuliko wapinzani wake.
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Idadi ya Mashahidi kuongezeka Nchini Bahrain wiki hii Habib Kadhim Mula Mkazi wa Bahrain leo asubuhi katika sehemu ya Sahlah karibu na Mji Mkuu wa Bahrain Manamah alifariki kwa athari ya Gesi ya Sumu.
|
![]() |
Kampeni za Uchaguzi Qom Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Abayt(as)-ABNA-Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran kujianda na uchaguzi wa wakilishi wa Wabunge siku ya Ijumaa tarehe 2 March 2012,huku wakazi wa Mji wa Qom watashirikiana na Wairani wenzao mnamo siku hiyo kwa kishindo ili kuonyesha Ulimwengu na Maadui wa Irani kuwa Wairani wapo pamoja na wapo tayari kuendeleza Nchi yao.
|
![]() |
Maandalizi ya uchaguzi Iran Utamshinda vipi adui kwa kutumia Kidole? Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Abayt(as)-ABNA- Mikoa tofauti ya Iran kujianda na uchaguzi wa wakilishi wa Wabunge siku ya Ijumaa tarehe 2 March 2012, Wairani waote mnamo siku hiyo watahudhuria kwa kishindo ili kuonyesha Ulimwengu na Maadui wa Irani kua Wairani wapo pamoja na wapo tayari kuendeleza Nchi yao.
Huenda jibu la kuridhisha ni yale mabango yaloning'inizwa barabarani katika jiji la Isfahaani Irani kuonyesha Kidole baada ya kupiga kura.
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Hali ya Saudia Arabia ipo tayari kwa ajili ya mapinduzi ya Kiislamu Gazeti la Guardian la Uingereza limeashiria kua kuzidi kukandamizwa waandamanaji Saudia inazidi kuongea wimbi la muamko wa Kiislamu Nchini humo kuandaa mazingira ya mapinduzi.
|
![]() |
Mama mmoja wa Bulgaria akubali Uislamu Baadhi ya Waumini wa kiislamu wafanya Sherehe za kumkirimu Mama mmoja wa Bulgaria kwa kukubali kwake Uislamu kuwa Dini yake, sherehe hiyo ilifanyika Ubalozi wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Irani Nchini Bulgaria.
|
![]() |
Kuandamana Wanafunzi wa Nchi za kigeni Nchini Irani Wanafunzi wa Nchi za kigeni Nchini Irani kuandamana dhidi ya kitendo kichafu cha Majeshi ya Marekani kuivulia Qurani heshima Nchini Afghanistani, Wanafunzi wa Al-Mustafa International Univarsity waliahidi kuandamana dhidi ya kitendo hicho.
|
![]() |
Ghadhabu ya Waislamu baada ya kuivulia heshima Qurani Ujumbe mkali wa Maulamaa kwa kitendo kichafu cha kuivunjia heshima Qurani nchini Afghanistani Kitendo kichafu cha Jeshi la Marekani kimeamsha ghadhabu ya Waislamu hasa Maulamaa kutoa ujumbe mkali na kuwataka Waislamu kuonyesha kuwa Waislamu kamwe hawatokua pamopa na wanaoivulia sheshima Qurani na Maulamaa walotoa ujumbe ni Marem Shirazi, Nuri Hamedaniy, Jaafar Subhaniy, pia Taasisi za Kiislamu hazikukaa Kimya kutoa ujumbe wao pia ikiwemo Al mustafa International University, Jamiatul Mudarisin Hauzatul Ilmiyah, pia Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran.
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Kuachiwa huru Mwanamke wa Kibahrain baada ya kifungo cha mwaka mmoja A`ayat Hasan Qarmazit mwenye Umri wa miaka 20 Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mafunzo na Malezi na Mshairi wa mapinduzi ya Bahrain kuachiwa huru.
|