![]() |
Netanyahu: Lazima tupambane na Iran isijetokea Holocaust Waziri Mkuu wa Israel mara nyingine tena Holocaust kua sababu ya kudhihirisha hofu yake kunakoJamuhuri ya Iran, Akieleza kua Iran haichoki hadi ipate bomu la nyuklia.
|
![]() |
Mashariki yakati Jeshi la Iran lataraji kuzindua Jet mpya kesho Jeshi la Ulinzi wa mapinduzi ya kiisalam ya Iran limeazimia kuzindua ndege mpya ya kivita ya mwendo kasi hapo keshi inshallah.
|
![]() |
Mashariki ya kati Israel yasogeza wanajeshi wake mpakani mwa Siria utawala wa ghasibu wa Israel umeanza kusogeza majeshi yake mpakani Siria ikisubiri malipo ya uchozi wao
|
![]() |
Mashariki ya kati Iran yatangaza hatima mbaya kwa walio vamia Siria Jamhuri ya kiislam ya Iran imetoa bishara ya hatima mbaya kwa utawala dhalimu wa Israel kwa kuvamia kwake kituo cha utafiti wa masuala ya kijeshi cha Siria
|
![]() |
Mashariki ya kati Israel yashambulia Siria Jumuiya ya nchi za kiarabu hii leo imeishutumu Israel kwa kuishambulia Syria kwa makombora ya angani ikisema hatua hiyo ni dhahiri na ya wazi kuwa Israel inaingilia maswala ya mamlaka ya nchi za kiarabu.
|
![]() |
Habari za Afrika UNESCO kuahidi kulinda urithi wa utamaduni Mali Mkurugenzi wa shirika la elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO Bi. Irina Bokova juzi aliahidi "kufanya kila awezalo kukarabati na kulinda urithi wa utamaduni wa Mali".
|
![]() |
Habari za Afrika Vyama vya upinzani vya Misri vyatoa wito wa kuunda serikali ya umoja na kufanya uchaguzi wa wabunge Vyama vikuu vya upinzani nchini Misri vimefikia makubaliano na kutoa wito wa kufanya mazungumzo na serikali ya nchi hiyo kuhusu kuunda serikali mpya ya umoja na kufanya uchaguzi wa wabunge.
|
![]() |
Afghanistan Riwaya kwa picha Afghanistan wiki ilopita Rais wa Afghanistan Haamid Karzay kukutana na mjumbe rasmi wa Marekani Afghsnistan, Sherehe za wiki ya umoja Afghanistan, Miripuko katika misafara ya kijeshi na kuondoka mtoto wa malikia Afghanistan ni miongoni mwa habari za picha za wiki ilopita.
|
![]() |
Watu 77 wakamatwa katika viwanja vya Tahriri Vyanzo vya habari nchini Misri vyanukuu kuruhusiwa Jeshi la nchi hiyo kukamata wafanya vurugu na wavunjishaji amani nchini humo
|
![]() |
Afrika Maingilio ya viwanja vya Tahriri mjini Cairo yafungwa
Baadhi ya vyombo vya habari vyanukuu kufungwa njia zote zinazo ingilia katika viwanja vya Tahriri mjini Cairo kwalengo la kuwazuiia wananchi ambao wanakusudia kuingia katika viwanja hivyo
|
![]() |
Afrika Waandamanaji wamisri wavamia ubalozi wa Marekani mjini Cairo Baadhi ya ripoti zinaeleza kuwa waandamanaji wa Misri wavamia ubalozi wa Marekani mjini Cairo
|
![]() |
Pakistan Mlipuko wa gesi wasababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine 36 mjini Lahore, Pakistan Mtu mmoja amekufa na wengine 36 kujeruhiwa baada ya mlipuko wa gesi kutokea leo tarehe 23 mchana mjini Lahore, nchini Pakistan.
|
![]() |
Mashariki ya kati Watu 16 wafariki Iraq katika mlipuko wa bomu Katika miripuko mitatu ilotokea Iraq leo watu 16 na zaidi ya 40 kujeruhiwa vibaya.
|
![]() |
Afrika Siku tatu katika wiki ni zakufanya ibada Rais wa jamhuri ya Gambia amekubali muswada kuwa siku tatu katika wiki hakutakuwa na kazi kwalengo la wananchi wapate muda wa kufanya ibada na kuendeleza harakati za kilimo
|
![]() |
Afrika Hosni Mubaraka baada ya siku kadha zijazo aachwa huru Mkuu wa jopo la mawakili wa Dikteta wa zamani wa Misri(Hosni Mubaraka) ametoa matarajio kuwa kutokana na vithibitisho na vielelezo vipya walivyo vifikisha katika mahakama kuu ya Misri vinaashiria kuwa Hosni Mubaraka baada ya masiku kadha ya usoni ataachwa huru
|
![]() |
Hali ya wasiwasi Algeria Dunia kuilaumu Algeria kwa mzozo wa mateka Operesheni ya jeshi la Algeria dhidi ya wanamgambo wa Kiislamu waliowateka wafanyakazi wa mtambo wa gesi imemalizika, huku mateka kadhaa wakiripotiwa kufa na nchi za Magharibi zikikasirishwa na Algeria.
|
![]() |
Hali ya wasiwasi Algeria Mateka 12 wauawa katika opresheni za kuwaokoa Mateka 12 wameauawa jana nchini Algeria katika siku ya pili ya operesheni ya kuwaokoa katika kiwanda cha kutengeneza gesi cha Amenas huku wengine 30 wakishikiliwa na wapiganaji.
|
![]() |
Wasiwasi juu ya hatima ya mateka Algeria Hali ya sintofahamu imetanda juu ya majaliwa ya raia wa kigeni waliotekwa nyara kwenye mtambo wa gesi nchini Algeria, ambako watekaji wao wanataka mbadilishano wa wafungwa na mwisho wa operesheni za Ufaransa nchini Mali.
|
![]() |
Athari za vita dhidi ya Plestina na Iran Israel kuandaa dola 60000 kukabili Makombora ya dola 600 ya Palestina Gazeti la Washington: Tija ya vita ya siku 8 ya Israel dhidi ya Palestina kugharimu dola 60000 kukabili Makombora ya dola 600 ya Palestina ambayo yatarajiwa kurushwa kwa mara nyingine kama Israel itavamia Palestina kama ilivyofanya siku zilizopita.
|
![]() |
Imam Husein(as) Sayyid Tijani Al-Samawi kusafisha Haram ya Imam Husein(as) Dr. Sayyid Tijani Al-Samawi Mshia maarufu wengi watambua kuingia kwake katika Madhehebu ya Ahlul Bayt(as), Dr. kapata taufiki ya kutumikia na kusafisha Haram ya Imam Husein(as).
|
![]() |
Afrika Jarida la kwanza la kishia nchini Tunisia lasambazwa nchini humo Jarida hilo litakuwa la kila wiki kauli mbiu ya (haki ndiye inayopaswa zadi kufuatwa) jarida hilo litakuwa linasambazwa nchi nzima kwalengo la kutoa mafunzo kwa wananchi
|
![]() |
Vurugu za Mali kutowa ujumbe mkali kwa Ufaransa Norway athibitisha kua wanorway 13 wametekwa nyara nchini Algeria Waziri Mkuu wa Norway Bw Jens Stoltenberg amethibitisha kuwa wanorway 13 wametekwa nyara katika shambulizi la kigaidi lililotokea kwenye eneo moja la uchimbaji wa mafuta mashariki mwa Algeria, lakini kampuni wanayofanya kazi watu hao imesema kati ya wafanyakazi wake waliotekwa wanne wako salama.
|
![]() |
Kifo cha Mtume(s.a.w.w) na Shahada ya Imam Ridha(as) kukusanya wapenzi wa Ahlul Bayt(as) Mash`had Baada ya kutembea zaidi ya kilometa 400 wapenzi wa nyumba ya Mtume(s.a.w.w) kukutana Mash`had kuomboleza na kuadhimisha kifo cha Mtukufu Mtume Muhammad(.s.a.w.w) na Imam Ridha(as).
|
![]() |
Wairan 48 kuachiwa huru baada ya kuachiwa huru marubani 4 wa Kituruki Mmoja kati ya Viongozi wa Syria alieleza kua Wairan 48 walotekwa nyara na Waasi wa Syria kuachiwa huru baada ya kuachiwa huru marubani 4 wa Uturuki.
|
![]() |
mashariki yakati Jeshi la Urusi lafanya maneva Siria jeshi la wanamaji la Urusi linaendelea kufanya mazoezi yake katika eneo la maji ya Siria
|