![]() |
Ugaidi Irani Kutoa Mkono wa pole kwa Afghanistani Iran yatoa mkono wa pole kufuatia kuuawa kigaidi Rabbani
|
![]() |
Ahmadinejad: Iran imesimama kidete na haitetereshwi na vitisho vya mabeberu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa siasa za madola ya kibeberu na kusisitiza kwamba, taifa la Iran limesimama kidete..
|
![]() |
Larijani: Siku ya Quds, siku ya Waislamu kupaza sauti za kuunga mkono muqawama Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds ni siku ya ulimwengu wa Kiislamu kupiga mayowe na kupaza sauti ya kuunga mkono muqawama na kuonyesha chuki dhidi ya maghasibu Wazayuni.
|
![]() |
Israel ikiishambulia kijeshi Iran itajuta kwani jibu la uchokozi huo litakuwa kali Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo utawala wa Kizayuni wa Israel utaishambulia kijeshi Iran basi utajuta kwa hatua yake hiyo kwani jibu la Tehran kwa uchokozi huo litakuwa kali.
|
![]() |
Wananchi wa Iran waonyesha mshikamano kwa Wasomali Wananchi wa Iran leo wameonyesha mshikamano kwa wananchi wa Somalia wanaokabiliwa na baada la njaa. Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Iran imesema kwamba, katika siku ya leo iliyotangazwa kama siku maalum ya Kuonyesha mshikamano wa Wairani kwa wananchi wa Somalia...
|
![]() |
Filamu ya ‘Muhammad SAW’ kutengenezwa Iran Filamu yenye anwani ya ‘Muhammad SAW’ inatazamiwa kutengenezwa nchini Iran chini ya usimamizi wa mtengeneza filamu maarufu nchini Majid Majidi.
|
![]() |
Sheikh Naim Qassim: Iran inaunga mkono kwa mapambano ni fahari kwa Hizbullah |
![]() |
Rais Ahmadinejad aziona Marekani na Israel; zikiishambulia Iran zitajuta Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezionya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kwamba, endapo zitafanya kosa na kuishambulia kijeshi Iran basi zitajuta kwa hatua yao hiyo.
|
![]() |
Jamhuri ya kislam ya Iran iko tayari kupeleka kikosi cha kulinda amani mjini London Uingereza Mohammad Reza Naghdi, Kamanda wa kikosi cha kujitolea hapa nchini Iran maarufu kwa jina la Basij amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kutuma kikosi chenye nguvu na ujuzi ili kulinda amani mjini London Uingereza kunakoshuhudiwa wimbi la ghasia na maandamano kwa takriban wiki nzima sasa.
|
![]() |
Ali Akbar Salehi: Madola ya Magharibi yanatumia suala la haki za binaadamu kama wenzo Ali Akbar Salehi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baadhi ya madola ya Magharibi yanatumia suala la haki za binaadamu kama wenzo wa kufikia malengo yao.
|
![]() |
Rais Ahmadinejad atoa salamu za Ramadhani kwa viongozi wa nchi za Kiislamu |
![]() |
Mkuu wa Mahakama nchini Iran alaumu misimamo ya kindumilakuwili ya nchi za Magharibi kuhusu ugaidi Mkuu wa Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madai ya nchi za Magharibi ya kupambana na ugaidi ni uongo usio na ukweli wowote.
|
![]() |
Ayatullah Rafsanjani: Usalama wa chakula duniani haujapewa uzito unaostahiki Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, suala la usalama wa chakula duniani halijapewa uzito unaostahiki.
|
![]() |
Mapenzi ya Ahlul Bayt AS ni uwanja bora wa kuonyesha vipaji Katika sherehe hizo, Ayatullah Udhma Khamenei sambamba na kutoa mkono wa baraka kwa mnasaba huo amesema, kuwapenda Ahlul Bayt AS hususan bibi Fatimatuz Zahra SA ni fursa na uwanja bMapenzi ya Ahlul Bayt AS ni uwanja bora wa kuonyesha vipaji.
|
![]() |
Qatar yawaalika wasomaji maarufu wa Qur'ani Kwa mara ya kwanza Qatar imewaalika wasomaji 17 maarufu wa Qur'ani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, imetangaza Idara ya Misikiti katika Wizara ya Awqaf na Masuala ya Kiislamu nchini humo.
|
![]() |
Tarjumi mpya za Qur'ani zaarifishwa Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani, Tehran Tarjumi mpya za Qur'ani Tukufu kwa lugha mbalimbali zimearifishwa na taarisisi ya Tarjumane Wahy katika Maonyesho ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani yanayoendelea hapa mjini Tehran.
|
![]() |
Iran kutuma nyambizi zaidi katika maji ya kimataifa Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili linajiandaa kutuma nyambizi zaidi katika maji ya kimataifa, zoezi ambalo litachukua siku 90.
|
![]() |
Mkuu wa Al Azhar apendekeza muungano wa Iran, Misri, Uturuki Shekhe Mkuu wa Chuo cha Al Azhar nchini Misri amependekeza kuwepo ushirikiano wa karibu kati ya nchi tatu za Iran, Misri na Uturuki.
|
![]() |
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akagua mafanikio ya kijeshi Iran Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahi Udhma Sayyed Ali Khamenei Jumatano amekagua mafanikio ya Jihadi ya Kisayansi na uwezo wa kujihami wa vikosi vya kijeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
|
![]() |
Salehi: Kuimarishwa uhusiano na Iraq ni katika siasa kuu za Iran Dk. Ali Akbar Salehi Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na Iraq ni suala linalopewa kipaumbele katika siasa za nje za Tehran.
|
![]() |
Iran: IAEA ina jukumu la kudhamini usalama wa miradi ya nyuklia ya nchi wanachama Iran: IAEA ina jukumu la kudhamini usalama wa miradi ya nyuklia ya nchi wanachama
Mkurugenzi wa Shirika la Atomiki la Iran amesema leo kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA una jukumu la kudhamini usalama wa miradi ya nyuklia ya nchi zote wanachama
|