Uwahabi na jamii Magaidi wa Syria kuvamia Basi la Walebanon Kufariki watu wa 5 na kujeruhiwa kadhaa katika uvamizi wa wapiganaji haramu wa Syria, Basi ambalo lililokua likibeba watu kuelekea Iraq kwa ajili ya Ziarah. |
Ripoti ya ABNA- Wapiganaji haramu wa Syria walivamia Basi la Walebanon katika sehemu ya Al ju`usiyah Nchini Syria na kuuwa wa 7 na kujeruhiwa watu 21.
Wasafiri wa Kilebanon walokua wakielekea Iraq kwa ajili ya Ziarah walipofika Syria walivamiwa na waasi wa Nchi hiyo.
Ripoti za awali zaeleza kuwa majeruhi hao walipelekwa katika Hospitali za Al harmal, Al asiy na Al batu`ul kwa ajili ya matibabu.
La kueleza ni kwamba si mara ya kwanza kutendewa Mashia vitendo kama hivyo na wanaodai kuwa ni Waislamu kuwatumia wapiganaji haramu wa Syria katika kufikia malengo yao.
http://www.abna.ir/data.asp?lang=17&id=307176