Abna.ir


Kada wa Al-Qaida auwawa Pakistan
Pakistan
Kada wa Al-Qaida auwawa Pakistan

ABNA inatuarifu kuwa:Habari kutoka serikali ya Marekani zinathibitisha kuwa mmjo wa viongozi wajuu wa kundi la Alqaeda ameuwawa.

Habari zilisema "Abu Yahya al Libi aliuwawa katika shambulio la  ndege zisizo na Rubani zilizoshanbulia maaficho yake huko Pakistan.
Kifo cha Libi ni pigo kubwa kwa kundi hilo la Al Qaeda, kwani alikuwa ni mtu anaye panga mipingo ya kundi hilo." Ikulu ya Marekani ilisema."
yafaa kuashiria kuwa Marekani imekuwa ikiuwa raia wasio na hatia kwa madai ya kuwasaka wafuasi wa Al-Qaida


http://www.abna.ir/data.asp?lang=17&id=320323